Hotline

  • HOME
Home → Hariri → Marekani kukabiriana na kibarua kigumu Syria

Marekani kukabiriana na kibarua kigumu Syria

Add Comment
Hariri
Thursday, 9 October 2014

Lakini mwenyekiti wa wakuu wa jeshi la pamoja, Jenerali Martin Dempsey, amesema wanamgambo hao wamekuwa wakijifunza jinsi ya kukwepa makombora ya angani.
Jeshi la Marekani linasema linaamini Wakurdi bado wanadhibiti sehemu kubwa za mji huo licha ya kushambuliwa pakubwa hapo jana.
Ufaransa imeunga mkono pendekezo la Uturuki kuunda eneo litakalodhibitiwa kiusalama katika mpaka wake na Syria ili kujilinda na pia kuwasaidia wakimbizi wa Syria.
Jenerali mstaafu Wesley Clark awali aliyehudumu kama kamanda wa juu wa jumuiya ya kujihami NATO kwa Ulaya, amesema ana imani kwamba operesheni dhidi ya IS hatimaye itafaulu.

Share this article :
Tweet
✚

Newer Post
Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

HABARI ZILIZO BAMBA TOP 10

LABELS

  • Hariri

Total Pageviews

Copyright 2014 Hotline
Template By Ridwan Hex And Game Gratis